Jinsi ya kujisajili BASATA: Hatua za Msingi za Kufanya
Jinsi ya kujisajili BASATA: Hatua za Msingi za Kufanya Utambulisho wa Wasanii Kujisajili katika Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ni hatua muhimu kwa wasanii wanaotaka kufanya kazi rasmi katika tasnia ya sanaa nchini Tanzania. Msanii anaweza kupata fomu ya usajili mtandaoni kwa kuingia www.basata.go.tz au kwa maafisa Utamaduni wa Wilaya na baadaye kujaza fomu na kuziwasilisha BASATA zikiwa zimeambatanishwa
Continue reading